Je, kuna ukweli hapo kwenye utumiaji wa mafuta?

mrdream

Senior Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
122
Reaction score
245
Wadau nataka kununua gari. Katika pitapita zangu nimekutana na hili na nimesoma hayo maelezo nimeyapenda hasa kwenye ulaji wa mafuta....

Je, naweza kuipata kwa shilingi ngapi mpaka mkononi kama nitaagiza Japan? (Bajeti yangu inakomea 13-14 mil) itawezekana au niamke kutoka ndotoni?

Khs spare na mengine kama oil nilishayasoma humu jf na kuyaelewa naweza sema nayamudu. Kilichobaki ni kwenye bei ya kuimiliki kwa kuagiza kutoka Japan na uhakika wa mafuta... Asanteni

Screenshot_20230716-195744.png
 
View attachment 2690131
Ichukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaweza ikawa ni fuel consumption ya highway au combined highway na urban. Iangalie google consumption yake ya urban.

Pia kwakuwa ziko chache hapa nchini spea zake bei yake inaweza ikawa imechangamka ukilinganisha na imprezza za nyuma yake hizi.
 
Back
Top Bottom