Possible hii gari level za IST
IchukueWadau nataka kununua gari. Katika pitapita zangu nimekutana na hili na nimesoma hayo maelezo nimeyapenda hasa kwenye ulaji wa mafuta....
Je, naweza kuipata kwa shilingi ngapi mpaka mkononi kama nitaagiza Japan? (Bajeti yangu inakomea 13-14 mil) itawezekana au niamke kutoka ndotoni?
Khs spare na mengine kama oil nilishayasoma humu jf na kuyaelewa naweza sema nayamudu. Kilichobaki ni kwenye bei ya kuimiliki kwa kuagiza kutoka Japan na uhakika wa mafuta... Asanteni
View attachment 2690131