INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
Habari wajuzi wamambo hasa wataalam katika tasnia hii ya Biolojia(biology).kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa kuna binadamu wanaozaliwa wakiwa na jinsia mbili ila sikuwahi kuliamin hilo hata siku moja.
Wiki mbili hivi zimepita nilikuwa nabishana na dada mmoja kuwa wapo watu wa aina hiyo nilimbishia sana ,kutaka kunithibitishia akanionyesha baadhi ya pics kutoka kwenye mtandao zenye kuwaonyesha watu wa aina hiyo(mtu mwenye umbo lakike lakini sehemu ya uzazi ni yakiume) nilienda kukataa nikimwambia kuwa huwenda ni utundu wa watu kumix picture lakin akanionyesha mpaka video
Still nikaendelea kutoamini katika hilo moja kwa moja ila nikwa naulakini fula,sikutaka kuamini kilakitu nikajarabu kusearch kwenye maeneo mbalmbali kujua ukweli lakini hakuna lilonipa ukweli moja kwamoja.
Sasa natamani kujua kutoka kwenu enyi wataalam wa sayansi katika hili

Sasa bwana kuna milolongo mingi hapa:
Hermaphrodite
Hawa ni watu waliozaliwa na jinsia mbili (maana yake wana sex organs za kike na kiume). Hii ameilezea MziziMkavu hapo juu. Hawa watu tunao wengi katika jamii lakini hufanya siri. Mfano wa hadharani ni mwanariadha Caster Semenya wa South Africa ambae anasema yeye ni mwanamke lakini umbile lake la nje ni kama mwanamme.
NOTE: Sote sisi tukiwa tumboni kwa mama tunaanza kama wanawake. Kama Y-cromosome haipo basi tunazaliwa kama wanawake. The chemical changes zinazo anzishwa na Y ndio zinazoziba ufa ambao ungekuwa uke wakati gololi zikiwa zinabakia ndani sawa na ovaries. Wavulana wakishazaliwa inachukua muda hizi gololi kuashiriwa kuwa zinapaswa kushuka na ndio zinateremka kama balls of steel za marijali. Sasa saa nyingine hizi chemical triggers hazifanyi kazi vizuri na mtu anazaliwa na jinsia mbili.
Haya Geneticist fanyeni kazi yenu.
She-Male, Trans-gender, Third-gender, nk.
Hawa watu mara nyingi wanazaliwa na jinsia moja ila tu (by nature or nurture) wanajihisi wangependelea kuwa na jinsia nyingine. Hivyo basi wanaweza kufanya hivi kwa:
- kuvaa mavazi ya jinsia nyingine
- wanaume kutumia homornes za kike ili wawe na matiti na haiba ya kike
- wanawake kutumia hormones za kiume ili wawe na ndevu na swagger za dume
- nk.
Mkuu.@INGENJ Binadamu kuzaliwa na jinsia 2 ya kike na kiume ni kitu cha kawaida huwa anaangaliwa ukubwani kwake je kipi kati ya hizo jinsia 2 kinachofanya kazi ikiwa uume ndio unaofanya kazi atahesabika yeye huyo ni Mwanamme la ikiwa uuke ndio unaofanya kazi pia huwa anahesabika yeye ni mwanamke siku hizi wanampima hospitali Hormone na kujuwa kama yeye ni mwanamke au mwanamme mambo ni ya kawaida hayo mkuu usishangae kabisa.