Kuna wimbi la kuwauwa watoto wadogo na kisha kunyofoa viungo vyao, matukio hayo yamefanyika katika Jiji la DSM. Pia kuna tukio lilitokea huko Mkoani Kagera la kuuwawa mtoto mwenye ualbino!
Kuna minong'ono kuwa vitendo hivi vinahusishwa na Uchaguzi mkuu na chaguzi za serikali ya mitaa. kwamba viongozi wanao wania au kutetea nafasi mbalimbali wamejiingiza kwenye vitendo vya kishirikina ili tu kutetea au kuwania nafasi mbalimbali.
Kama kuna ukweli juu ya hayo yanayo semwa, basi nachukua nafasi hii kwanza kukemea viongozi wote wanao wania nafasi mbalimbali kwenye chaguzi kuacha kujihusisha na VITENDO VYA KISHIRIKINA.
Pili tuwakatae viongozi wote wanaoabudu na kutumia nguvu za giza/ushirikina ili kupata nafasi mbalimbali.
Vitendo vya uchu wa Madaraka/vyeo na Utajiri ndio vinaangamiza uhai wa maalbino na watoto wadogo wasio na hatia.
Ramli chonganishi pia ni sababu ya mauaji ya watoto wadogo.
Ushirikina ni ujinga.