Mimi si amini katika kumpenda mtu...mimi naamini katika kupata vigezo vya mwanamke ninaye mtaka na kuntongoza akikubali niwe wake na moment anayoanza kua mjinga mjinga uwaga na mtreat km mtu wa kawaida tu yaan sina kufumbia macho upuuzi wa mwanamke wangu kisa mapenzi...sijui ht watu wanafanyaje
..sababu mimi naweza mpa penzi+zawadi+mda wangu+ucheshi wangu+pesa(sio nyingi sifanyi upuuzi huo) lkn siku atakayofanya upuuzi bas ndo siku hiyohiyo anajuaga mimi sijui kupenda ...
Hayo mambo nasikia wanayo sana watoto wa kike
Kwangu binafsi hio formula ya first love never dies haifanyi kazi
Uhusiano ukivunjika ujue nakusahau moja kwa moja.