Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na madai ya ''Instagram'' kujaribu kuwa kama ''Tiktok''?

Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na madai ya ''Instagram'' kujaribu kuwa kama ''Tiktok''?

Chulumeshy

Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
17
Reaction score
11
Mathalani, kumekuwepo na madai ya kwamba mtandao mkubwa wa kijamii ujulikanano kama ''Instagram'' kunakili na kuiga vipengele mbalimbali vya mtandao mwingine unaukua kwa kasi na kupendwa na watu wengi maarufu kama ''TikTok'' ambaye ni mpinzani mkuu wa mtandao wa Instagram kwa kuzindua baadhi ya mabadiliko yanayoipelekea kufanana na mpinzani wake.

Mabadiliko hayo yanajumuisha mlisho mkuu wa msukumo wa video za mtindo wa TikTok zilizopo katika mlisho wa ''Algoriki' na vipengele vingine vya TikTok. Jambo linalipelekea malalamiko ya watu kuhusiana na kukosa madhumuni wanayoyahitaji kutoka kwa marafiki na familia zao.

Madai hayo yamekanushwa na Mkuu wa Instagram akidai kuwa hii ni kutokana na chuki ya watumiaji wa mtandao huo.

Adam Mosseri, ambaye ndiye Mkuu wa mtandao huo wa Instagram katika Akaunti yake ya ''Twiter'' ameendelea kwa kusema kuwa, ''anasikia wasiwasi mwingi kutokana na mabadiliko hivyo ameongezea kwa kusema kuwa ataendelea kuunga mkono picha, na pia Instagram itakuwa ni video baada ya muda fulani lakini wataegemea zaidi kwenye mabadiliko hayo huku wakiunga mkono kwenye upande wa picha.

Pamoja na hayo ametetea kipengele kipya cha ''mapendekezo'' cha jukwaa, ambacho kina maudhui na kusema kuwa watumiaji wake hawafuatilii mipasho na maudhui hayo.

Amedai kuwa wazo ni kusaidia katika ugunduzi wa vitu vipya na vya kupendeza ambavyo watu hawajui kama Instagram vipo. Na hivyo, lengo ni kuboresha mapendekezo kwani wamekuwa wakiahirisha mapendekezo kwa hata kwa mwezi mmoja na kwa kufanya hivyo itawasaidia watayarishi katika kufikia hadhira yao na kukuza ufuasi wao. Aliongezea kwa kusema kuwa, watajitahidi kubadilika kulingana na jinsi Ulimwengu unavyobadilika kwa haraka.

Hata hivyo, kumetokea na upinzani mkubwa dhidi ya mabadiliko hayo na mmoja wa wapinzani hao ni ''Kyilie Jenner'' mtumiaji wa nguvu za mitandao ya kijamii na mwanachama wa ukoo wa Kardashian ambaye alichapisha hadithi iliyoshirikiwa kwenye tovuti akisema kuwa ''kufanya Istagram Istagram tena''. Chapisho lililoshirikiwa na dada yake mkubwa ajulikanaye kama Kim Kardashian.

Jenner aliongezea kwa kusema '' acha kujaribu kuwa TikTok, nataka kuona picha nzuri za marafiki zangu'' aliongezea huku akitia saini katika chapisho la ''kwa dhati, kila mtu''.

Kulingana na takwimu zilizofanywa na Ofcom Septemba 2021, zinaonesha kuwa Instagram ni mtanda wa kijamii ambao ni mkubwa sana ukishikilia nambari ya tatu nchini Uingereza kwa kutembelewa sana na watu na hivyo kuifanya kuongezeka sana kwa kuwa na vipakuliwa vingi kuliko programu nyingine yeyote kulingana na kampuni ya uchanganuzi ya Sensor Tower.

Pia Facebook (dada wa Instagram), inapitia baadhi ya marekebisho kama ''Mlisho wa Mpangilio'' pamoja na kichupo kipya cha ''Nyumbani'' cha Algoriti na jaribio la kuiga ukurasa maarufu wa ''Kwa ajili yako'' kutoka TikTok.
Amesema hayo Mmiliki wa mtandao huo Mark Zuckerberg kwa kudai kuwa mabadiliko hayo yatapelekea maudhui yanayojali zaidi.

Anaogezea kwa kusema kuwa wana neema kwani makumi ya mamilioni wana imani katika uandishi wa habari usiokuwa na woga wa ''Guardian'' tangu walipoanza kuchapisha katika miaka 200 iliyopita ambapo wamekuwa na wafuasi wengi katika nchi 180 ambao huwawezesha kifedha.

Pia anasema kuwa Guardian imetofautiana na wengine kwani haina wana hisa na haina mmiliki bilionea bali nia yao ni kutoa ripoti za kimataifa zenye athari kubwa zisizo na ushawishi wa kibiashara au kisiasa na pia yote hutolewa bila malipo kwa wasomaji wake kwani wanaamini katika usawa wa habari kwani watu wengi hunufaika kutokana na habari hizo kuwafikia watu bila kujali uwezo wao wa kuzilipia.

NINI MAONI YAKO JUU YA MABADILIKO HAYA KWA WATUMIAJI WAKE?
 
IMG_3637.jpg

IMG_3636.jpg

juu ni tiktok chini ni insta,mpaka imekuwa ngumu ukiwa ndani kujua uko mtandao gani.
 
Back
Top Bottom