mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo.
ivi wakuu kuna ukweli ktk hili au ndo muendelezo wa sanaa na janjajanja za mjini watu wanataka watokemo kupitia huyu jamaa yangu?
mm nimemshauri asiweke maana naona kama ni uharibifu tu ndo unaofanyika pale maana wanatoboatoboa gari kila sehemu na kuiacha gari ina mashimo ya milele.
Mwambie asisahau na kile kibati kwenye side mirrors.
Dah! Side mirror, kibongobongo wachache sana , 'site' mirror hata mama japo bibi humkatazaMwambie asisahau na kile kibati kwenye side mirrors.
duuh kweli kuna umuhimu kuweka iyo kitu aiseeWewe mtoa mada mwambie huyo jamaa yako aende akaweke ribiti fasta sanaaa.
Hakuna MTU anapenda kuharibu gari yake Kwa kuweka ribiti ila hakuna namna kutokana na wezi.
Mimi nipo kariakoo miaka mingi pamoja na u-legend wangu bado jamaa waliiba mkanda Fulani upo juu ya paa ya gari....ingawa niliupata baadae lkn nilitoa pesa mwisho wa siku
Tupo wengiWakuu mwenye Picha ya gari lililopigwa ribiti aweke tuone,maana mimi hata sielewi.
Kwenye hizo herufi "A" kwenye neno altezza hivyo vibati vya duara ndo ribit/rivets. Zimewekwa hapo kuzuia watu kupita na hiyo nembo.Wakuu mwenye Picha ya gari lililopigwa ribiti aweke tuone,maana mimi hata sielewi.
Kuchafua tu gariWakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo.
ivi wakuu kuna ukweli ktk hili au ndo muendelezo wa sanaa na janjajanja za mjini watu wanataka watokemo kupitia huyu jamaa yangu?
mm nimemshauri asiweke maana naona kama ni uharibifu tu ndo unaofanyika pale maana wanatoboatoboa gari kila sehemu na kuiacha gari ina mashimo ya milele.
Okay nimekupata MkuuKwenye hizo herufi "A" kwenye neno altezza hivyo vibati vya duara ndo ribit/rivets. Zimewekwa hapo kuzuia watu kupita na hiyo nembo.