je kuna umakini katka usahihishaji wa mitihan ya kidato cha nne?

suelov

New Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
4
Reaction score
0
matotokeo ya kidato cha nne ni mabaya sana je hapa tatizo liko wapi?kuna wanafunzi wanachukua masomo ya sayansi lakin wamejaziwa masomo ya biashara shule zingine kuna wanafunzi walisimamishwa shule hawakufanya mitahani lakin wamepata matokeo wengine mpaka kuwa daraja la tatu.....tusiwalaumu wanafunzi bali tuangalia pande zote ili tujue tatizo liko wapi tuweze kutatutua wizara ya elimu inahusika sana kutuambia inakuwaje mwanafunzi wa biashara kuwa na matokeo ya sayansi na hata wasiofanya mitihan matokeo kujitokeza kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…