Kulangwamale Hussen
Member
- Feb 2, 2013
- 41
- 67
Nimetafakari kinachoendelea nchini Kenya na uwezo wa vijana hao (Gen - Z) kudai haki zao kikatiba.
Hali hii imekua tofauti katika nchini yetu licha ya kukabiliwa na chanagmoto zinazofanana na wenzetu; vijana hawana habari kabisa na masuala ya msingi ya haki za kikatiba; hawahoji, wapo busy na masuala ya anasa na kubet! Nakumbuka hata Hayati Mh. Ben Mkapa aliwahi kusema kuna haja ya kuwa na mdahalo wa kitaifa kuhusu elimu yetu kutokana na alama za nyakati alizoziona katika kipindi hiko.
Swali langu!
Je, kuna haja ya kutafakari mfumo wa elimu yetu katika kuwajenga vijana namna ya kuhoji haki zao za kikatiba, uzalendo, kuondoa uoga na hata kufanya migomo ile inayohusu haki zao msingi?
Na kama ndio njia ipi sahihi itumike katika kuwajenga vijana kutoogopa licha ya viongozi kuziba masikio kwa kupitisha baadhi ya sheria ambazo sio tu kuminya bali pia zinakandamiza hazi za msingi zakikatiba!

Upvote
2