Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Sote twajua kuwa Katiba ndiyo muhimili wa Taifa ( Muongozo) .Lakini Kunakitu kinaitwa Elimu Ambayo ndiyo msingi wa Mambo yote.
.Africa Imejikuta inashindwa kuendelea sababu ya Kuwekeza katika siasa ambazo zimetuletea Hasara kubwa kama kuwapoteza ndugu. Wazungu waliziset akili zetu kuwaza Siasa Kupitia kifaa kiitwacho Demokrasia, ilituwe tunafikiri kila muda kuhusu Siasa ambazo hazina wema sana kwetu, walifanya hivyo tuendelee kuwa watumwa kwao, kiukweli wamefanikiwa tumejikuta miaka yote zinateka Hisia na Akili zetu Pasina kufikiri sisi tutaendeleaje kama bara.
Elimu maana yake ni Kupokea na Kutoa Taarifa ama Maelekezo.Mfumo wa Elimu Tuliyonayo bado haitutoshelezi sisi kama Tanzania kuendelea kisayansi na Kiteknologia.badala yake tumejikuta tukitaka Katiba mpya, hasa tukiwa tunalenga maendeleo Lakini tunajisahau Elimu yetu Bado Imeshindwa kutuzalishia wataalam wengi badala yake mfumo wa Elimu uliyopo umekuwa mstari wa mbele kutuzalishia wasomi Wengi Tegemezi wa Ajira .Elimu Lengo lake si kumfanya mtu(Msomi) awe tegemezi wa ajira bali ni Kufanya Utatuzi wa Matatizo kwenye Matatizo mbalimbali kwenye jamii zetu. Msomi ni Yule ambaye anapokea au Hutoa Taarifa ama Maelekezo na Kuyafanyia Kazi. Mfumo wetu wa Elimu umetuzalishia wasomi wengi wasiokuwa na Nidhamu ,wasio na Ujuzi Wakeshao kutafuta ajira. Hii ni Hatari sana, Tunahitaji Mfumo wa Elimu ambao utamwezesha mtu mwenye ndoto za kuwa dactari Kusoma Hayo masomo (CBG) na mengineyo kwa undani toka Msingi kwanjia ya Vitendo(Practically) na Njia ya nadharia( Theoretically) Secondary practical ipewe nguvu zaidi Kufikia Advance anaweza kutibu mtu Chuoni Tayari huyu anaweza kuwa daktari bingwa,Waandisi wa Infrastructure Lazima tuhakikishe akifika University anauwezo wa Kutujengea Madaraja makubwa na majengo makubwa na Wataalam wengineo wafanyiwe hivyo. Tukitumia Pesa nyingi kuwekeza kwenye Elimu ya Vitendo maana yake Miaka michache tutakuwa na wataalam(wasomi) wenye faida kwenye Taifa lao, Teknologia itakuwa yetu itakuwa sababu ya Elimu kwa Vitendo magari na bidhaa zingine tunaweza kuzizalisha wenyewe Rasilimali zetu tutaweza kuzitumia tutaweza kuzalisha watumiahi wenye weledi ,Tutakuwa tumejikomboa Kimwili,Kiakili na Kiroho