Je kuna umuhimu wa kukumbushia penzi la zamani?

Queen Kyusa

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
663
Reaction score
162
Jamani wasalam wanajamvi mm huwa najiuliza sana kuhusu watu kuwa na kasumba ya kukumbushia penzi kwa mtu aliyeachana naye muda mrefu na kila mtu akaenda kwenye njia zake nyingine labda mwanaume kaoa au mwanamke kaolewa lakini utashangaa mwanaume akikutana na huyo mpenzi wake wa zamani anataka waanze tena au wawe wanakumbushia. Tatizo langu ni je wakati waachana siilionekana wameshindwana sasa kwanini wakumbushie enzi?Jamani nisaidieni ni muhimu​ kukumbushia penzi la zamani? .

Tamaa tu ndugu yangu, wala hakuna umuhimu wa aina yoyote ile. Mtukama ameoa au ameolewa, ni commitment ya kutokufanya upuuzi wowote na mtu wa aina yoyote ile.!
 
hata mawasiliano sitaki what for kama tulishidwa jana basii
 
Jamani wasalam wanajamvi mm huwa najiuliza sana kuhusu watu kuwa na kasumba ya kukumbushia penzi kwa mtu aliyeachana naye muda mrefu na kila mtu akaenda kwenye njia zake nyingine labda mwanaume kaoa au mwanamke kaolewa lakini utashangaa mwanaume akikutana na huyo mpenzi wake wa zamani anataka waanze tena au wawe wanakumbushia. Tatizo langu ni je wakati waachana siilionekana wameshindwana sasa kwanini wakumbushie enzi?Jamani nisaidieni ni muhimu​ kukumbushia penzi la zamani? .

Nijuavyo mimi mahawala huwa hawaachani wanacho kifanya ni kukumbushia tu
 
Back
Top Bottom