W WPT Member Joined Apr 19, 2016 Posts 20 Reaction score 6 Oct 4, 2017 #1 Khabari wadau... Swali langu ni fupi .. je kuna usajili katika kuanzisha biashara ya min restaurant ya chakula.. kama chips.. wali.. n.k..kama ipo njia ni zipi na certificates za usajili ni zipi na ngap??
Khabari wadau... Swali langu ni fupi .. je kuna usajili katika kuanzisha biashara ya min restaurant ya chakula.. kama chips.. wali.. n.k..kama ipo njia ni zipi na certificates za usajili ni zipi na ngap??