Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry nlkuw na haraka tuseme nilisex nae tarehe 22/04/2019 hapo anaweza pata mimba?Mfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza pata mimba?
Mkuu hapo inategemea na mzunguko wa mwanamke wako...kuna wanaoenda siku 28,30,35 na 40 kwa kizazi cha sasa....hvyo mimba inategemea mzunguko wa mwanamke husika .....Sorry nlkuw na haraka tuseme nilisex nae tarehe 22/04/2019 hapo anaweza pata mimba?
Uwezekano wa kupata mimba upoMfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 nikasex nae tarehe 22 /04 /2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza pata mimba?
Kaka tayari kisha nasa huyo jipange tu kulea mwana, kwan sh'ngapi?!Mfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 nikasex nae tarehe 22 /04 /2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza pata mimba?
Hata mm sidhan but nataka kusingiziwa mimba hv hv najiona [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mm sidhan but nataka kusingiziwa mimba hv hv najiona [emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 nikasex nae tarehe 22 /04 /2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza pata mimba?
Kwa hiyo tarehe 22/4/2019 atakuwa anakulengesha mwambie apeleke kwa mhusika.Mfano nme sex na mpenz wang ambaye aliingia hedhi tarehe 2/4/2019 ambaye hedhi ilikatika tarehe 8/4/2019 nikasex nae tarehe 22 /04 /2019 lakn siku zake huwa zinabadilika badilika hv hapo anaweza pata mimba?
Ungesex kuanzia tar 12-15 ungekuwa unaitwa baba kijacho kwa sasa, bt kwa hyo 22 never ever, tena anakaribia period.Sorry nlkuw na haraka tuseme nilisex nae tarehe 22/04/2019 hapo anaweza pata mimba?
Umemjibu kitaalam sanaHawezi kupata mimba yako,labda hapo katikati amefanya na mtu mwingine
Na mm ndio nnavyo jua mkuu nataka kubambikiziwa.Kwa hiyo tarehe 22/4/2019 atakuwa anakulengesha mwambie apeleke kwa mhusika.
Iko hivi, toka 2/4/2019 alipopata hedhi siku ya kwanza hadi 22/4/2019 ulipoweka rutuba ni siku 20 zimepita.
Mwanamke anaweza kupata ujauzito siku ya 7 ukihesabu toka siku alipoingia hedhi. Yai la mwanamke linaanza kushuka siku ya 10 ukihesabu toka siku alipopata hedhi na kufika siku ya 17 kama halijarutubishwa linaharibika, hii inaweza pengine kwenda hadi siku ya 19. Siku hatari zaidi ni siku ya 13 na 14 hapo yai linakuwa linasibiri mbegu. Kwanini awali nimesema siku ya 7 hatar inaanza? Ni kwamba mbegu za kiume zinaweza kubaki hai ndani ya uke kwa saa 72 ambayo ni sawa na siku 3. Kwa hiyo 7+3 = 10 ambayo hiyo siku ya 10 yai la mwanamke linashuka uwezekano wa kupata mimba mkigegedana siku ya 7 upo.
Kwa mtiririko huo mkuu muulize vizuri alikotoa hiyo mimba na ni kwanini anaikabidhi kwako wakati wewe sio mhusika hata kwa kipindi kile cha rehema yaani siku ya 17 hadi 19????.
Wanaume japo kitanda hakizai haramu, bora kulea mtoto unaetambua kuwa si wako kuliko kuaminishwa wako kumbe sio. Inakera na inaudhi. Halafu ukikuta mtoto kila mara mama yake anasema huyu kafanana na baba yake na ukiangalia hakuna uhalisia chukua hatua mapema, anajaribu kukupumbaza huyo.
Take care