Je, kuna uwezekano kuwa Azam FC wamemsajili Mayele?

Je, kuna uwezekano kuwa Azam FC wamemsajili Mayele?

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
Mayele.jpg

Wana agenda yao ya kuizungumza leo saa tano inayohusu usajili, na topic iliyobeba tukio hilo ni
"NDIO! Wameungana tena."
 
Wana agenda yao ya kuizungumza leo saa tano inayohusu usajili, na topic iliyobeba tukio hilo ni
"NDIO! wameungana tena" /"REUNION"
Kwani Mayele alishawahi taka kusign au kuchezea Azam before?
 
Azam wana utoto mwingi hata sio wa kuwazingatia

Wiki moja iliyopita walikuja na tangazo la kuonesha kuna mtu wanamsajili hivyo majira ya saa 12 watu wajiandae kumuona.

Ilivyofika muda huo, wakamtambulisha Bajama kuwa kaongeza mkataba.
 
Sasa kuungana tena kuna uhusiano gani na Mayele? Kwa nini siyo Aishi Manura?

Dume zima kazi umbea na kutingisha wowowo tu.
Dada mbona una makasiriko asubuhi yote hii..?? Bwana wako amekunyima cha asubuhi..??
 
Sijawahi sikia, lakini lolote lile linawezekana katika maisha ya mpira
Ni kweli lolote linaweza kutokea Ila nimeuliza hivyo kutokana na hiyo agenda yao itakayobebwa na "REUNION". Labda kwa ambao walishawahi kuichezea Azam kima Manura, Kapombe n.k mkuu
 
Fiston Kalala Mayele ni mtu mzima! Baba wa familia, na pia ni mchezaji anayejitambua!! Siyo kilaza kama huyo Fei Toto wenu.
Uzuri mimi mwenyewe ni shabiki wa Yanga, na mada yangu ni swali tu kutokana na post ya azam na tetesi za siku za nyuma, kuwa huru kwa mayele na jinsi ambavyo mayele anamkubali feisal..
Ni Kama kipindi kile Ronaldo anaenda Juve, ikasemekana kwamba Marcello anataka kwenda Juve kwa wakati huo
 
Yanga hakuna mambumbumbu na wachawi kama wewe.
 
Back
Top Bottom