wana jf naombeni mnijuze kama inawezekana mwalimu wa diploma masomo ya chemistry na geography kuomba degree ya pharmacy na atatumia matokeo au cheti gani pindi aombapo?ufafanuzi plz
wana jf naombeni mnijuze
kama inawezekana mwalimu wa diploma masomo ya chemistry na geography
kuomba degree ya pharmacy na atatumia matokeo au cheti gani pindi
aombapo?ufafanuzi plz
nafikiri kwa kutumia cheti cha diploma kitachokuwa na transcrip yake yenyd hayo masomo,inawezekana mzee,hyo fani ni nzuri kwani soko lake la ajira ni zuri,anzisha movement ya hcho kitu mzee