Je, kuna uwezekano VVU kutooonekana baada ya miezi sita kupitia kipimo cha Sd bioline?

Je, kuna uwezekano VVU kutooonekana baada ya miezi sita kupitia kipimo cha Sd bioline?

Stanley jh

New Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Je, Kuna uwezekano VVU kutooonekana baada ya miezi sita kupitia kipimo cha Sd bioline?
 
Haiwezekani mkuu. Sd bioline inapima antibodies ambazo zinatolewa na mwili vs virusi.. so as long as virusi vipo mwilini antibodies zitakuwepo tu.

Mfano hata kwa mtoto aliyezaliwa na mama mwenye HIV unaweza kumpima kwa kutumia Sd bioline ukakuta inasoma positive lakini hana virusi hio ni sababu mtoto anakua amepata antibodies za mama.
 
SD Bioline inapima antibodies na kutoa majibu kwa 95% baada ya wiki 4 yaani siku 28! Na hizo 5% baada ya siku 90!

Ni kwa nadra saaana inaweza tokea isitoe majibu kwa kipindi tajwa hapo juu
 
Je, Kuna uwezekano VVU kutooonekana baada ya miezi sita kupitia kipimo cha Sd bioline?
inawezekana

Usipofuata" procedures" zake vizuri wakati wa kupima au ukitumia kifaa kilicho expire.

kama kila kitu kikiwa sawa (kifaa na ukafuata procedures vizuri , haiwezekani)
 
SD Bioline inapima antibodies na kutoa majibu kwa 95% baada ya wiki 4 yaani siku 28! Na hizo 5% baada ya siku 90!

Ni kwa nadra saaana inaweza tokea isitoe majibu kwa kipindi tajwa hapo juu
Ahsante Mkuu
 
Back
Top Bottom