Haiwezekani mkuu. Sd bioline inapima antibodies ambazo zinatolewa na mwili vs virusi.. so as long as virusi vipo mwilini antibodies zitakuwepo tu.
Mfano hata kwa mtoto aliyezaliwa na mama mwenye HIV unaweza kumpima kwa kutumia Sd bioline ukakuta inasoma positive lakini hana virusi hio ni sababu mtoto anakua amepata antibodies za mama.