Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
501
Reaction score
788
Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
 
That is impossible fyucha tensi
nenda uza kwa wauza vocha kwan umekosea?
 
Kuna sababu kama 8 za msingi kwanini airtime uwaga haiwezi kurudishwa kuwa actual money, moja wapo kuu ni:- Ikiruhusiwa hiyo kufanyika itakuwa ni mwanya mkubwa wa kufanya money laundering ikiwa pamoja na mwanya wa ukwepaji Kodi ( kwa kampuni kulipa wafanyakazi kwa mfumo wa airtime kisha wao wakaenda ibadili kuwa pesa mbele ya safari)
 
Back
Top Bottom