Kuna sababu kama 8 za msingi kwanini airtime uwaga haiwezi kurudishwa kuwa actual money, moja wapo kuu ni:- Ikiruhusiwa hiyo kufanyika itakuwa ni mwanya mkubwa wa kufanya money laundering ikiwa pamoja na mwanya wa ukwepaji Kodi ( kwa kampuni kulipa wafanyakazi kwa mfumo wa airtime kisha wao wakaenda ibadili kuwa pesa mbele ya safari)