Je, kuna uwezekano wa kujifungua kabla ya tarehe kulingana na majibu ya ultrasound?

Mig

New Member
Joined
Jan 31, 2019
Posts
3
Reaction score
3
Hellooo
Poleni na majukumu ya kila siku, mi mjamzito nilipima ultrasound nikaandikiwa majibu ya tar ya kjjifungua lakin sasa najisikia maumivu kweli kuzunguka kiuno na yanakuja na kupotea. Swali ni kwamba je, kuna uwezekano wa kujifungua kabla ya tarehe kulingana na majibu ya ultrasound?? Msaada wenu
 
Wasiliana na daktari wako umueleze hiyo hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…