Je, kuna uwezekano wa kupata gono bila kufanya ngono na mwenye huo ugonjwa?

Je, kuna uwezekano wa kupata gono bila kufanya ngono na mwenye huo ugonjwa?

chenngula

Member
Joined
Apr 30, 2019
Posts
5
Reaction score
2
Nimeona dalili ya gono (usaha katika uume wakati wa asubuhi.

Nimemuonesha mke wangu ambaye ametoka kujifungua wiki tatu zilizo pita kanijibu kuwa yaweza kuwa gono na akaniuliza kuwa alipoondoka kwenda kujitazamia je nilikuwa na mchepuko?

Nami nikamuuliza hvyohvyo. Kiufupi mimi sikuwa na mchepuko nilimsubiri mke wang na laipofika baada ya damu kuacha kutoka tulifanya mapenzi na mtoto wetu yupo pembeni.

Sasa naomba msaada nijue kama kuna uwezekano wa kupata gono bila zinaa
 
Duh...kuna mmoja wenu hapo kachepuka lazma
 
wanaume bana.! kulkuwa na haja gan kusema ulifanya mapenz huku mtoto wenu akiwa pemben.?
 
Mwanaume Akiambukizwa Gono dalili hutokea baada ya wiki Moja,
Sasa jitazame hizo siku sita Ulikuwa wapi?
 
wanaume bana.! kulkuwa na haja gan kusema ulifanya mapenz huku mtoto wenu akiwa pemben.?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu echeka sana
 
Nenda hospitali ukapimwe upate jibu la uhakika una tatizo gani.

Uache kukisia kisia.

Upate ushauri wa wataalam jinsi ya kulikabili tatizo kabla halijawa kubwa zaidi.

Tena mpeleke na mkeo mkapimwe wote ili asije kutibiwa mmoja halafu mkaambukizana upya.
 
Back
Top Bottom