Nimeona dalili ya gono (usaha katika uume wakati wa asubuhi.
Nimemuonesha mke wangu ambaye ametoka kujifungua wiki tatu zilizo pita kanijibu kuwa yaweza kuwa gono na akaniuliza kuwa alipoondoka kwenda kujitazamia je nilikuwa na mchepuko?
Nami nikamuuliza hvyohvyo. Kiufupi mimi sikuwa na mchepuko nilimsubiri mke wang na laipofika baada ya damu kuacha kutoka tulifanya mapenzi na mtoto wetu yupo pembeni.
Sasa naomba msaada nijue kama kuna uwezekano wa kupata gono bila zinaa