Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

MSABATO12

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
27
Reaction score
25
Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
 
Nunua line, isajili kisha iweke kwenye router kwa ajili hiyo to ya vifurushi.
 
Ttcl wana vifurushi na vyenye speed ya uhakika, kachukue line yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…