Umesha sema mwenyewe hapo mahakamani..inawezekana japo sina hakika kama ni muhimu kuanzia idara ya usajiri wa vizazi RITA. ndhani ukienda ofisi za RITA utapewa utaratibu wote na si huku Jf.
Na ukifanikiwa na mimi uniambie maana nataka kuyakana majina yangu yenye misingi ya kigeni na niwe na majina yangu yote matatu ya asili ya kiAfrika ya kabira langu.