Je, kuna uwezekano wa kushika mimba?

Uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa labda kama utumiaji wa uzazi WA mpango utavuruga Ila uwezo WA kupata mimba ni mkubwa Ila Kama hutaki mtoto ajaribu kumeza flagil Ila Hadi Kwa mda huu sidhani kama itafanya kazi Ila ajaribu
 
Sio make wangu! N mchepuko tu mkuu
 
Habarini,kuna dem alikuw anatumia uzazi was mpango(vjit) kakitoa mwz wa6 ,mwez wa 7 tar 21-24 brdi,nkalal nae tar 28,mwz huu, pia kaanz brid tar 11-14,nmelala nae Leo tar 21 je kuna uwezekan wa kushka mimba? Na kam ndio ntegemee jinsia gan ya mtoto?
Mimba ipo, sijajua jinsia
 
Inabidi ujue mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi na ni siku ipi ana ovulate.
Ukisha fahamu hayo ndo uje tukusaidie kujua kama kuna uwezo alipata mimba au la!
 
Inabidi ujue mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi na ni siku ipi ana ovulate.
Ukisha fahamu hayo ndo uje tukusaidie kujua kama kuna uwezo alipata mimba au la!
Kwa saiv mzunguk haujakaa sawa,mwz wa7 kaanz rar21 na mwezi huu kaanz tar 11
 
Hakuna uwezekano labda uanze KUMKANDAMIZIA kuanzia TAREHE 23 hadi25 HAKUNA uwezekano labda uanze KUMKANDAMIZIA kuanzia TAREHE 23 hadi 25 August Happ matumaini yatakuwepo mkuu
 
Anyway kubaliana na hari uoe usiongeze single maza
 
Kuna uwezekano ukapata baby girl hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha eti nimelala nae
 
Kachanga kangu kana miezi minne kana kilo Tisa je ni sawa? Ananyonya tu maziwa ya mama.
 
Inategemea alikuwa anatumia Njia gani ya uzazi wa mpango kuna Nyingine mimba kuingia baada ya kuitoa inachukua Hata miezi 6 mingine mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…