Nimesoma advance miezi tisa nikafanya mtihani nikapata History D English D na kisw E Gs F la muhimu uwe na material ya kutosha na usitegemee sana tuition kwa sbb itakupotezea muda, jenga ratiba ya kutwa mara 4 kujisomea yaani asubuhi,mchana, jioni, usiku pale panapokutatiza ndo uombe msaada.