Nimemaliza Diploma ya Human Resource Management nilikuwa naomba kufahamu. Je, kuna uwezekano wa mimi kusoma Bachelor of Science in Account and Finance?
Au kozi gani nyingine nzuri ya uhasibu naweza kusoma?
Unaweza some accounting katika baadhi ya vyuo kama TIA dar ,mtwara,mbeya singida ,kigoma,dodoma n.k ,LGI-dodoma ,cuccomu- mbeya,ruaha University-iringa,Jordan-morogoro,St. Augustine arusha na mwenge kilimanjaro