Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

Naweza kuhama kutoka wizara ya afya kwenda maabara ya mkemia mkuu.

Unaweza kuhama kutoka kokote kwenda kokote kwa kufuata taratibu kwa mujibu wa kanuni na sheria kulingana na uwepo wa nafasi huko unakoenda​
 
Bora nyinyi mnaohama wengine sisi vibarua vyetu tunapigwa matukio tu...... tunamshukuru Mungu tu.
 
Back
Top Bottom