Je kuna uwezekeno wa kuzalisha hormone hii nje ya mwili?

Je kuna uwezekeno wa kuzalisha hormone hii nje ya mwili?

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Ule msisimko anaopata mwanaume wakati wa tendo la ndoa,sayansi inasema husababishwa na hormone kumwaga katika sehemu ya ubongo baada ya back and forth movement..

Sasa hakuna uwezekano kuzalisha hii hormone ili MTU awe anajidunga
bila KUFANYA NGONO anasisimka..
 
Kuna vyakula vya kusisumua pamoja na dawa ila vitu vingine sio vya muhimu sana haswa drugs wakati meditation inaweza kufanya mwili uachie dopamine na serotonine kwa wakati mmoja na sio meditation pekee hta wakati wa kulala mwili huwa unaachia dopamine na serotonine.
 
Doh sikuhizi mnataka utamu bila hata kutumia nguvu0?
 
Back
Top Bottom