Ule msisimko anaopata mwanaume wakati wa tendo la ndoa,sayansi inasema husababishwa na hormone kumwaga katika sehemu ya ubongo baada ya back and forth movement..
Sasa hakuna uwezekano kuzalisha hii hormone ili MTU awe anajidunga
bila KUFANYA NGONO anasisimka..