Je kuna vipimo vya nguvu za kiume?

Je kuna vipimo vya nguvu za kiume?

nyathika

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
221
Reaction score
469
habari ndugu wa jf

Kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto. Ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.
 
habari ndugu wa jf..... kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto .. ..ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.

Kwani kuna viwango vya nguvu za kiume? Na kama vipo vinapimwaje kwa maana ya definitions?
 
habari ndugu wa jf..... kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto .. ..ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.
Nahisi hili tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria. Kibaya zaidi ni kwamba wahusika wanaona aibu.
 
Unachanganya madesa dogo.

Unachanganya kusimamisha na pengine ubora na afya ya mbegu zako za kiume.

Kushindwa kusimamisha mkuu huhitaji kipimo cha mzungu. Jongoo likishindwa kupanda mtungi au linapanda taaaaaraaatibuuuu tena kwa shida wakati mwingine linafika katikati ya mtungi halafu linateleza na kudondoka utajua tu.

Vipimo vya afya ya mbegu zako za kiume hivyo vinafanyika hospitalini. Nenda tu katika hospitali ya karibu ukapime!
 
habari ndugu wa jf..... kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto .. ..ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.
tafuta demu mweupe.mwenye matako makubwa dakika.kadhaa utamwambia awe uume.wako naww utakuw ukimchezea utapata tu.stimu nafikiri ww.ulishawahi kujaribu kwa msichana wa.kwanza baada ya kushindw.kusimamisha.ukajijengea mazingira ya woga ndo kinachokusumbua
 
habari ndugu wa jf..... kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto .. ..ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.
Funga nazi mbili kwenye dushe[emoji38] ukiweza kuziinua dushe likinyanyuka kama mara 10 basi uko fiti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
habari ndugu wa jf..... kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto .. ..ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua uwezo na nguvu za kiume.
Unahitaji kipimo cha nini na wewe umeshajua HUDINDI?
 
Nahisi hili tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria. Kibaya zaidi ni kwamba wahusika wanaona aibu.
Pia linaweza kuwa sio kubwa kama tunavyofikiria ila watu wanajiletea hofu wenyewe kwa kuweka standard kubwa na moja wakati kila mtu amezaliwa kivyakevyake ndo maana hata kwenye shughuli zingine tumetofautiana katika kuushirikisha mwili kufanya jukumu flani hivyo basi hata kitandani tusitegemee kuwa sawa.

Wakati mwingine watu wanaweweseka tu na kulifanya tatzo kuwa la kisaikolojia ukichanganya na wengine wamepita kwingi akikutana na mrembo nae amepita kwingi au mwanaume wake wa kwanza alikuwa anapiga pump zaidi ya kiwango ukija mwenzangu na mie umejitutumua lakini mrembo anadai tayari unatoka mchezoni

All in all ulichokisema pia kina mashiko yaani tatizo lipo ila watu wanaona aibu ila kwenye mazungumzo nyie ya mtandao kila mtu ni star kama Gaucho au Messi
 
Back
Top Bottom