Je kuna viumbe kwenye sayari zingine?

Je kuna viumbe kwenye sayari zingine?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nimekuwa nikifikiria kila wakati na kutaka kujua kama kuna viumbe kwenye sayari zingine. Juzi tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale. Jamaa mmoja akaanza kutuelezea kuwa kunaviumbe NASA wamewaona na wakabahatika kumkamata mmoja. Viumbe hao walitoka sehemu tofauti na dunia. Na kulikuwa name tishio la viumbe hao kuangamiza dunia.

Wanajamvi mwenye taarifa kamili tafadhari. Nimegoogle sijapata MA IBU.
 
Back
Top Bottom