Je, kuna walimu waliopata mafunzo ya mtaala mpya kidato Cha Tano na Sita?

Je, kuna walimu waliopata mafunzo ya mtaala mpya kidato Cha Tano na Sita?

Jkitamoga

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
33
Reaction score
11
Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.
 
Wanataka mwanafunzi aweje tofauti na anavyokuwa KWA mtaala wa sasa?
 
Back
Top Bottom