Jkitamoga Member Joined Jul 25, 2021 Posts 33 Reaction score 11 Jul 7, 2024 #1 Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.
Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Jul 7, 2024 #2 Hakunaga
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jul 9, 2024 #3 Kuna baadhi ya Wilaya wanaendesha sasa hivi.Ila ni kuhuni sana yaani.
A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Jul 9, 2024 #4 Jkitamoga said: Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.N Click to expand... Nchi ya hovyo sana hii!
Jkitamoga said: Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.N Click to expand... Nchi ya hovyo sana hii!
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Jul 9, 2024 #5 Wanataka mwanafunzi aweje tofauti na anavyokuwa KWA mtaala wa sasa?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 9, 2024 #6 Ngoja waje
baiser JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,480 Reaction score 2,239 Jul 9, 2024 #7 Mzingo said: Wanataka mwanafunzi aweje tofauti na anavyokuwa KWA mtaala wa sasa? Click to expand... Ni kweli maana hajafafanua
Mzingo said: Wanataka mwanafunzi aweje tofauti na anavyokuwa KWA mtaala wa sasa? Click to expand... Ni kweli maana hajafafanua