Je, kuna waliokutana na hali hii kazini?

Lakabu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2023
Posts
511
Reaction score
1,277
Habari za Leo jamiiforums?

Niende moja Kwa moja kwenye mada, Niko mahali yapata miaka mitatu ila Kuna jirani baadhi siwaelewi kabisa, Kuna jirani nikimsalimia haitiki na milango inatizamana.

Yaani nikitoka nje lazima nimuone na yeye vile vile lazima anione, Sasa nimekuwa napata wakati mgumu Kwa sababu siyo kawaida, nikimsalimia haitiki badala yake anakutizama Kwa hasira, nilichoamua nikaacha kumsalimia akaja kwangu kununua bidhaa nikahisi kama amegundua makosa yake.

Kesho yake akija Tena anitizame Kwa hasira, Sasa niishije na huyu jirani nisaidieni mawazo.
 
Achana nae pambana na maisha
 
Sasa wewe unaye mmoja tu Mimi ninao watatu wa aina hiyo. Kama una uhakika hujamkosea, Achana naye.

Kuna walimwengu wamejawa na wivu na husda. Akiona umefungua kioski ananuna bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…