Je, kuna wanandoa wanapitia hii changamoto? Kuachiana chumba ili mmoja abadili nguo?

Hali ikifikia kiwango hicho ni vema kila mmoja ajirejeshe kwa baba yake.Ndiyo,kwa sababu ni tabia mbovu yenye kuonesha ukosefu wa ustahimilivu,uungwana,kukua na kutochukuliana madhaifu yenu.
 
Break up from home
 
Nimesoma kichwa cha habari tu.


Ila hata iweje siwez mwachia chumba ili tu abadili nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…