Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika jamii zetu za kiafrika Mwanaume humpata mpenzi kwa kumtongoza/kumvutia kimapenzi.Lakini kumekuwa na usemi kuwa huyu jamaa anavutia kweli kwa wanawake.Je ni kweli? Kama ni kweli si wanaweza hata kuvutia kwa wake za watu?
Unajua wengine wanatumia fedha kutafuta wapenzi,sasa kama kuna anayevutia na yeye pia ni kiwembe si atatumalizia wake zetu?Halafu si kweli kuwa NGOMA inaua mapema siku hizi kuna ARVs na LISHE zingine.Kwa hiyo hoja ni kuwa kuna wanaume wanaovutia bila kutumia kichocheo?Sasa huyo mke wa mtu akivutiwa na wewe kwani ni lazima umkubali. kama utakubali kila mtu kwa sababu ya kuvutiwa basi utakufa mapema sana na NGOMA.
Katika jamii zetu za kiafrika Mwanaume humpata mpenzi kwa kumtongoza/kumvutia kimapenzi.Lakini kumekuwa na usemi kuwa huyu jamaa anavutia kweli kwa wanawake.Je ni kweli? Kama ni kweli si wanaweza hata kuvutia kwa wake za watu?
I don't know about jamii za kiafrika, but if jamii zenye asili za kiafrika is any indication then probably yes.
Jana kuna totoz bomba kakaa karibu na mimi kwenye treni, kaniona nasoma kupitia "Amazon Kindle" yangu, nimepiga suti nadhifu na tai kubwa, well groomed, headphones masikioni, kaanza kuniuliza kuhusu "Amazon Kindle" na vitabu ninavyoweza kupata humo, chit chat nyingi mpaka tukafika kituo cha nyumbani, kushuka kaniambia amependa nilivyovaa na kazi yangu, na yeye ansomea mambo hayo hayo anataka niwe "career mentor" wake.
Nikachukua kadi, akachukua kadi, sasa sijui haya mambo ya "career mentor" yanaweza kuwa gumzo la kuanzia tu au vipi!
Mpaka mtu unaona duh!
Au uchu wangu tu watu wanatafuta "career mentor" kweli? Kama anatafuta mentor si angeenda LinkedIn/ Careerbuilder seminars?