Je, kuna Watanzania kwenye Japan Olympics?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Ni swali tu nauliza? Nakumbuka tukiwa wadogo tulikuwa na wakimbiaji lakini siku hizi ni Kenya, Uganda na Ethiopia....
 
Aisee inasikitisha saanaaa....yaani leo nawaona wadada wanaitwa akina Mbona na Masilingi wanachukua medali Tokyo ila sisi wadada wetu wanapishana sijui wapi huko plus serikali imeitupa kabisa sekta ya michezo imebakiza kuiwekea siasa tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hawafiki hata nusu dozen waliokwenda kuliwakilisha Taifa la watu 60M aibu😂😂
Nalogoff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…