Je, kuna watu wangapi wapo nawe bega kwa bega

Z K Ahmad

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
29
Reaction score
36
_ Support (Kuungwa mkono) na watu wa karibu au Ndugu, je ina mchango wowote juu ya mafanikio yako.

Ni Mara kadhaa tumekuwa tukiambizana kuwa watu wa karibu hawana msaada hivyo tunatafuta na kujenga mahusiano mapya katika kukua kiuchumi_.

Je! Hili limekusaidia vipi kwa wewe uliefanikiwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…