Je, Kuna watumiaji wa cocaine hapa nchini, wanaokamatwa nayo wanabambikiwa au?

Je, Kuna watumiaji wa cocaine hapa nchini, wanaokamatwa nayo wanabambikiwa au?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nimetoka kuangalia makala hapa inayohusu mambo ya cocaine na ninmegundua ya kwamba aina hii ya madawa ni bei mno.

Hapa nazungumzia cocaine yale madawa yanayovutwa kwa pua (kusniff)

Madawa haya bila uwezo wa kutoa laki kila siku huwezi kuyapata

Nimeona watuamiaji wa bangi na mateja wanaotumia hizi heroin na mthamphetamine lakini hapa kwenye cocaine ni mziki mwengine

Je, hao wanaokamatwaga na cocaine huwa wanabambikiwa au?
 
Back
Top Bottom