Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Wilaya gani mkuu, na je barua inasoma tarehe ngap?Wapo wengi tu naowajua
Hapa hapa dar na kuna wengine wapo wizarani.Wilaya gani mkuu, na je barua inasoma tarehe ngap?
Idara gani? Kama ni idara ya elimu wewe ni muongo kwa Dar intake ya 2014 hakuna aliyepanda daraja, harafu Daresaalam sio Wilaya, Soma uzi vizuriWapo wengi tu naowajua
Acha roho mbaya mkuu,Nyie walimu kwanza mmeshiriki kuchafua uchaguzi, HAPA HAKUNA CHA MADARAJA subirini miradi ya maendeleo inayowagusa wananchi wanyonge ikamilike