Je kuna yeyote aliyeielewa hii picha

Hii ni sign ya freemason mzee nae alikuwa mwana chamaView attachment 1169740
sikutegemea kama ntakuta jibu kama hili...asante fundi....ata sku ile msiba wa masogange,diamond alivomsalimia kiba wakasema kiba kaficha kiganja iki asiibiwe nyota...mond ana degree tano,so ni master mason,,na ndo vile anatakiwa kumsalimia member wa chini yake(ali k)
 
Kasuku on the mic!!
 
Kwahiyo wewe umeacha
 
Kwani Ali k naye yupo kule?
 
Msh hawa sijui walikuwa wanaogopa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…