je kunamadhara ya kujamiana na mtu mwenye mimba

mi nimeoa mke wang sas ana mimba ya miez 8 na anatak tujamiane e kunashida

Ndio maana nasemaga dunia inaelekea ukingoni. Huyo mwenye mimba ni mke kama ulivyoandika hapa au ni hawara yako?

Nitashangaa kuona kuna watu wamekupa binti yao awe mke ungali una mambo ya kitoto namna hii. Kuingia kwenye ndoa ilhali hujui jambo dogo kama hili ni dalili kuna meeengi sana huyafahamu.

Kuna mwingine hapo chini naye anaona kwamba unaweza kumdunga mtoto, sijui anatania au ndio anavyojua, Mungu tu atusaidie. Tena aongeza kuwa mtoto anageukageuka
 

hahahahahah
 
Hakuna madhara iwapo utachagua style ambayo hautofika hadi kwenye cervix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…