Je! kunataarifa za Matokeo CPA(NBAA) 2014?

sawaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
201
Reaction score
31
Wadau wa CPA(NBAA)...mwenye taarifa za matokeo ya cpa kwa mitihani ya novemba 2014 yatatolewa lini atujuze maana tulizoea kuwa ni kabla ya christmas
 
kwenye website yao bado hawajaweka
 
Tulia...bado sana haiwezekani ufanye mtihani Nov mwishoni upate matokeo mapema hivyo.
 
Matokeo ya CPA si jambo la kukuumiza kichwa kusubiri,unaweza kuwa na ham nayo ukakuta wamekula kichwa halaf tusikuone tena humu jf japokuwa hatukujui.
 
Wadau wa CPA(NBAA)...mwenye taarifa za matokeo ya cpa kwa mitihani ya novemba 2014 yatatolewa lini atujuze maana tulizoea kuwa ni kabla ya christmas

msubiri much know anakuja kasema ana taarifa zote za CPA(NBAA)
 
Matokeo ya CPA si jambo la kukuumiza kichwa kusubiri,unaweza kuwa na ham nayo ukakuta wamekula kichwa halaf tusikuone tena humu jf japokuwa hatukujui.
anatakiwa atulize akili vinginevyo atapotea, ukizingatia yeye akawa Mara ya ya kwanza kufanya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…