Hiyo tabu kuzaa kama panya tena na wanawake tofauti..
Hakuna sehemu aliyosema dini lakiniDini inaruhusu...
Mfano una wake wanne kama dini unavyosema..
inawezekana kuwa na msimamizi zaidi ya mmoja.Poleni na majukumu wanasheria.
Napenda kujua iwapo sheria inaruhusu wasimamizi zaidi ya mmoja wa mirathi yaani kama watatu hivi.
Maana kuna familia ina watoto wa mama watatu tofauti na wako kwenye mchakato wa mirathi lakini suala la mtu mmoja kupewa usimamizi wa mirathi linawachanganya.
Wao wanataka kila mzaliwa wa mama mmoja awe katika usimamizi wa mirathi.
Natanguliza shukurani kwenu wanasheria wasomi kwani maoni yenu yatakuwa ufumbuzi wa hii sintofahamu.
Asante kwa andiko lako mkuu, naendelea kupokea maoni.inawezekana kuwa na msimamizi zaidi ya mmoja.
Hivyo wote watatu wanaweza kuwa wasimamizi wa mirathi ikiwa watapendekezwa na familia na mahakama ikawateua. Sheria ya usimamizi wa mirathi inaruhusu.
Hapo ninachokiona nikukosekana kwa uelewa juu ya hasa nini maana ya usimamizi wa mirathi.
msimamizi wa mirathi anasimamia makubaliano yaliyofanywa na familia, Hana mamlaka yakubadili makubaliano hayo na utekelezaji wake unasimamiwa na mahakama.
Alipie Kwanza,asitake kutumia elimu yetu bure, wenyewe tumeilipia huko law school!!Mwaliko wa wanasheria wasomi huu.
Mbona mmejifungia ndani?