The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Habari wanaJF,
Nina jambo nataka tuzungumze kidogo. Katika bara letu la Afrika kumekuwa na kasumba ya viongozi kung'ang'ania madaraka aidha kwa kubadili katiba (constitutional coups), ama kwa mabavu tu.
Hata hivyo, wengi wa hao wanaoabudu vitendo hivyo ni walewale wanaotuaminisha kuheshimu na kufuata misingi ya Umajumui wa Afrika (Pan-Africanism).
Naamini hili litapeleka fikra za wengi kwa Hayati Komredi RG Mugabe, lakini wapo wengi tu humu barani.
Je, kung'ang'ania hatamu za uongozi ni kusaliti dhana ya Umajumui wa Afrika?