Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Karibu sana kwenye chama, ila si ajabu wengine tukakutana mlangoni tukiwa tumerudisha kadi.Mlioko kwenye ndoa naomba mnijibie swali hili, maaana huwezi jua ukali wa posi kama hupigi pasi.
Inshort natarajia kujiunga na taasisi yenu soon.
Well said Mr. Rocky, lakini pia na huyo mwenzako upeo wake wa ku balance ndio unapata hiyo conclusion ya kupoteza au kutopoteza uhuru.Karibu sana sana kwenye taasisi hii
Sio kweli bana maana hakuna kitu kama hicho. Uhuru upo na ni namna tuu sasa ya kuutumia inabadilika. Maana huwezi ukaacha kukaa na marafiki zako kwa kipindi wala kukimbia starehe ulizokuwa umezoea. Sema tuu unajipangia namna ya kubalance majukumu ya familia na starehe zako
Mlioko kwenye ndoa naomba mnijibie swali hili, maaana huwezi jua ukali wa posi kama hupigi pasi.
Inshort natarajia kujiunga na taasisi yenu soon.
Jsaud mbona unanitisha? Nini kinachokusumbua? Au na wewe ulipata bondia kama yule jamaa yetu wa Musoma aliyeamua kujitundiks baada ya kuona hana ujuzi wa kukwepa, kupangua na kurusha ngumi?Karibu sana kwenye chama, ila si ajabu wengine tukakutana mlangoni tukiwa tumerudisha kadi.
Mkuu unajua kinachotufanya tuhisi tumepoteza uhuru ni ile kuongezeka kwa majukumu. Ulikuwa unakaa baa unakunywa na kula huko huko ila sasa una mwenza huwezi kukaa baa unywe na ule huko huko. Unakuta ile ya kunywa na kula unaitenga inaachwa home. So umekaa baa umekunywa umetosheka unajiendea tuu home.Well said Mr. Rocky, lakini pia na huyo mwenzako upeo wake wa ku balance ndio unapata hiyo conclusion ya kupoteza au kutopoteza uhuru.
<font size="3">Majibu mengi hapa yanaleta swali lingine...faida ya ndoa ni nini?</font>