<br />Mlioko kwenye ndoa naomba mnijibie swali hili, maaana huwezi jua ukali wa posi kama hupigi pasi.<br />
Inshort natarajia kujiunga na taasisi yenu soon.
<br />Oa uyaone. Si ndo moja ya majukumu ya utu uzima? Utapambana na utakayoyakuta hivyohivyo. Hakuna linaloshindikana.