DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kama kuwaita watu Kenge.Huyu mtavangu,wahehe na wa Iringa mkimpa ubunge nitawashangaa sana, Labda aletwe Mirembe hospital?Kwa kanuni za bungeni , ni ruksa mbunge kutukana matusi .?
Ikiwa matusi hayaruhusiwi je inakuaje Mbunge anaongea lugha Kali zenye viashiria Vya matusi na hachukuliwi hatua yoyote?.
Kwakuwa sehemu Kama Bungeni ni sehemu ambayo zamani iliaminika inawakutanisha watu Fulani wenye upeo wa juu wa kuchambua mambo ya nchi Kama sheria n.k
Tuwe makini zamani MTU alikuwa anaweza kufanya vituko Ila sasa watu wanaweza kukufatilia hata wakiwa mbali .
Sio matusi tuuKwa kanuni za bungeni , ni ruksa mbunge kutukana matusi .?
Ikiwa matusi hayaruhusiwi je inakuaje Mbunge anaongea lugha Kali zenye viashiria Vya matusi na hachukuliwi hatua yoyote?.
Kwakuwa sehemu Kama Bungeni ni sehemu ambayo zamani iliaminika inawakutanisha watu Fulani wenye upeo wa juu wa kuchambua mambo ya nchi Kama sheria n.k
Tuwe makini zamani MTU alikuwa anaweza kufanya vituko Ila sasa watu wanaweza kukufatilia hata wakiwa mbali .
Kwa wabunge wa ccm inaruhusiwaKwa kanuni za bungeni , ni ruksa mbunge kutukana matusi .?
Ikiwa matusi hayaruhusiwi je inakuaje Mbunge anaongea lugha Kali zenye viashiria Vya matusi na hachukuliwi hatua yoyote?.
Kwakuwa sehemu Kama Bungeni ni sehemu ambayo zamani iliaminika inawakutanisha watu Fulani wenye upeo wa juu wa kuchambua mambo ya nchi Kama sheria n.k
Tuwe makini zamani MTU alikuwa anaweza kufanya vituko Ila sasa watu wanaweza kukufatilia hata wakiwa mbali .
Sugu aliwahi kuwa mwana CCM kwani?Hairuhusiwi Nakumbuka kipindi cha JK Sugu alikutuna na adhabu
Umesoma heading?Sugu aliwahi kuwa mwana CCM kwani?
AiseeKwa wabunge wa ccm inaruhusiwa