Je, kupanda kwa bei za mazao kunaweza kumnufaisha mkulima ikiwa bei za bidhaa nyingine zimepanda?

Je, kupanda kwa bei za mazao kunaweza kumnufaisha mkulima ikiwa bei za bidhaa nyingine zimepanda?

Je kupanda kwa bei za mazao kunaweza kumnufaisha mkulima ikiwa bei za bidhaa zingine zimepanda?

  • Hapana

  • Ndio

  • Sijui

Results are only viewable after voting.

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,

Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.

Karibuni
 
Bei za Mazao zipae maradufu mkulima apate hela yake, kuhusu bei za bidhaa nyingine kupanda haimuathiri mkulima tu , mbona mishahara ya waajiriwa ikipanda watu hamlalamiki ? ni wakati sasa muwaache wakulima wafaidi jasho lao
 
Usiseme muwaache sema tuwaache.
 
Na pamoja na hayo yote bado kuna madalali hapo katikati ambao wanachangia kwa kiasi kikubwa sana bei za Mazao kupanda . madalali wadhibitiwe ili mkulima auze kwa bei nafuu lakini yenye faida kwake na ambayo itamuwezesha kurudi tena shambani kuzalisha zaidi
Usiseme muwaache sema tuwaache.
 
Back
Top Bottom